KUSHUKA KWA SHINIKIZO LA DAMU:Dalili,matatibu..
Maelezo ya jumla Kushuka kwa shinikizo la damu (hypotension), ni hali ya kuwa na shinikizo la damu lililo chini sana kuliko kawaida. Hii humaanisha moyo, ubongo, na sehemu nyingine za mwili hazipati damu ya kutosha. Nini dalili za kushuka kwa shinikizo la damu? Dalili zinaweza kujumuisha: Kuona maluweluwe Kuchanganyikiwa Kizunguzungu Kupoteza fahamu Kuhisi usingizi Uchovu/ […]