1. Home
  2. yutuyai
MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO

Maelezo ya jumla Mambukizi kwenye njia ya mkojo (urinary tract infection (UTI)) yanaweza kutokea mahali popote kwenye njia ya mkojo. Maambukizi haya yana majina tofauti, kulingana na sehemu ilioambukizwa. Maambukizi katika kibofu cha mkojo huitwa cystitis, maambukizi kwenye figo moja au zote mbili huitwa pyelonephritis ,...